ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 19,742
- 72,302
Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa mileleJiunge na wachawi tu😀
Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa mileleJiunge na wachawi tu😀
Shida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoni😀🤣Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa milele
Mtawatambua kwa matendo yaoShida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoni😀🤣
Haya baadae😀, Nika oge Sasa.Mtawatambua kwa matendo yao
Kumbe upo dojaa?Maingate hapa sihitaji kusikia kelele
Makelele hayaruhusiwi sameeeKumbe upo dojaa?
Nasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?Makelele hayaruhusiwi sameee
Wangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zao😀😀😀Nasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?
Acha waje... watakutana na hiki kimbunga njianiWangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zao😀😀😀
😀😀😀😀Acha waje... watakutana na hiki kimbunga njiani
😅😅🙌We shall see 😆, ume sahau Mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa 😆🤓
Sinunui utapeli mimiIntelligent businessman katunga kitabu:
"JINSI YA KUPATA USINGIZI NA KULALA MAPEMA"
utanunua au utapeli?
wajukuu wata kuja tu, Kikubwa waku Bali ku Saini prenup agreement 😀😆😅😅🙌
Kataa Ndoa sio Chama kizuri, kumbukeni Wazee wenu tunatamani Wajukuu wa kucheza nao nyakati hizi tumestaafu Utumishi 😜