Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,177
Si ndio yule aliye mfata mwanamke mwenzie inbox 😂😁😁😁😁Hidaya namfahamu
Si ndio yule aliye mfata mwanamke mwenzie inbox 😂😁😁😁😁Hidaya namfahamu
😀😀😀 hivi huwa unalala saa ngapi? Au unalala mchana ?financial services follow my command like zombie, keep snoring loud with your big nose for me 😀
huwa sio mpenzi wa kulala kivile, ila huu SI ndo mchana Sasa😆😀😀😀 hivi huwa unalala saa ngapi? Au unalala mchana ?
Mnataka Ndoa za mikataba?wajukuu wata kuja tu, Kikubwa waku Bali ku Saini prenup agreement 😀😆
Sio mkataba wa kiukandamizaji, ila tuna determine kilicho patikana kabla, na baada Kita kwenda wapi Incase things fall apart.Mnataka Ndoa za mikataba?
Unadhani ningesaini Ndoa ya Mkataba mngekuta bado nipo na Bibi yenu hadi leo?
Kama uko na mind set hiyo, bora usioeSio mkataba wa kiukandamizaji, ila tuna determine kilicho patikana kabla, na baada Kita kwenda wapi Incase things fall apart.
Je yupi na yupi wali invest power kubwa katika Hilo, maana ma gold digger SI watu😁😆
hahaha, kuoa Nita oa tu, but so una elewa ufahari wa familia si jina tu😆😁.Kama uko na mind set hiyo, bora usioe
Kwanza Mke akishajua unaishi naye Kwa mtindo huo lazima akuwahishe ulambe udongo
Nani kakukataa mkuu?, mface umpige ngume, .12 :56 PM Ndugu yangu hidaya acha umbeya umbeya Dili na kimbunga chako huko kwenu Hii Hidaya inaleta vumbi Daslama
Mpe weweNani kakukataa mkuu?, mface umpige ngume, .
Unachamba kuliko sisi❗
😁😁😁😁 mimi sikuheshimu tenaSi ndio yule aliye mfata mwanamke mwenzie inbox 😂😁😁😁😁
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakin😁12 :56 PM Ndugu yangu hidaya acha umbeya umbeya Dili na kimbunga chako huko kwenu Hii Hidaya inaleta vumbi Daslama
Siongeagi .akinichamba ntayaweza mimi?Mpe wewe
Mpe wew
😂🤣🤣🤣😁😁😁😁 mimi sikuheshimu tena
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakin😁
hawezi kukuchamba utakua mahi wake wakudumu buana, halafu ntakua nachukua umbea kwako sieti eeh Dogo Vincenzo Jr Chombo hichoSiongeagi .akinichamba ntayaweza mimi?
🤣😂😂😅 amface ampige mangume mhusikahawezi kukuchamba utakua mahi wake wakudumu buana, halafu ntakua nachukua umbea kwako sieti eeh Dogo Vincenzo Jr Chombo hicho
Naona unamchapa spana mabakuli, mabakuli huwa ni mbea sana na anapigaga umbea sana na mademuZa ndaaani kumbe alimpelekea umbeya ili aombe hela kama kawaida yake Fanya kazi acha kuomba hela hovyo