Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Nadhani ita kuwa hivyo, ngoja aki kubali tuta enda bargain mahari😆😀Miaka 2 ya Uchumba sio mbaya iwapo sababu zinajulikana.
Ila Kiutaratibu hutakiwi kuanza kumuonja onja huyo Bibie hadi mbariki Ndoa kabisa.
Unaweza kumuonja onja ukamjaza Kitambi then ukajikuta anaharibu Mipango.
Suala la mahari nafikiri linazungumzika, ongea na huyo Mchumba ako umueleze ungeweza kumudu kulipa kiasi gani
Vinginevyo unaweza kujikuta unalipa milioni 10 😜🙌