Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,439
Tafuteni kote ila hamta pata Mlinzi ka mimi nawa ambia, tafuteni mki pata mjue ni jiwe na Sio rupiah
Ila wana arsenal tuna vurugu, toka tumfunge chelsea😂😆Hali ya hewa hii, halafu unalala pekee yako kama panga kwenye ala yake... Mateso 😂😄
Chelsea ni kikundi cha mchiriku ni kama 7 survivors ama jagwa 😂🤣Ila wana arsenal tuna vurugu, toka tumfunge chelsea😂😆
Kai wa kupiga goli 2 kweli 🤣 😆Chelsea ni kikundi cha mchiriku ni kama 7 survivors ama jagwa 😂🤣
Hakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..Kai wa kupiga goli 2 kweli 🤣 😆
Oya zile game 4 arteta ashinde Sasa🤣😆Hakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..