financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,514
😀😀Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku😢financial services uki reply hii comment saa hii, naku nunulia bucket ya kfc 😃😃
😀😀Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku😢financial services uki reply hii comment saa hii, naku nunulia bucket ya kfc 😃😃
Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha😀financial services hata Kama ni weekend, ndo ukorome Kama chura wa jangwani 😆 😆
Saa saa 7 na nusu😀😀Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku😢
Ngoja niisome kiswahili saa 7:30 usiku eeh, ndiyo maana nna usingizi mwingi😀Saa saa 7 na nusu
Eeeh endelea kulalaNgoja niisome kiswahili saa 7:30 usiku eeh, ndiyo maana nna usingizi mwingi😀
Roho mbaya umeanza lini mkuu, niendelee kulala nikose pesa nife 😀Eeeh endelea kulala
Hahahahaha..si umesema una usingizi mzito ? Sasa kama una usingizi na leo jpili , lala tuRoho mbaya umeanza lini mkuu, niendelee kulala nikose pesa nife 😀
muda ni ule ule mbona😃Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha😀
una tafuta visingizio😃, ndo ime Isha hiyo😂😀😀Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku😢
Mzee hayo mazoezi isijee kuwa ni juu ya mtu😃Good morning Mkuu 🤝
Muda huo nilikuwa nimeamka tayari kufanya morning walk, maana Profesa Janabi anatusisitiza Wazee kufanya mazoezi walau Kila Siku japo ya kutembea 🏋️
Vinginevyo hatutaifaidi pension yetu 🙌
Hahaha, Kuna mzee ali Sema samaki mtulivu, hakamatwi kirahisiNiko kiduka cha mangi na zimua , kuna mdada kaja kavaa dela tu ndani hakuna kitu..dah kaamsha mashetani yote
na Nina mito 4 kabisa😃, ila usingizi sio favorite recipe yangu😁Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha😀
Hahahahahaha imebidi nimwambie hayo mayai nitalipa ..umependeza sana..Hahaha, Kuna mzee ali Sema samaki mtulivu, hakamatwi kirahisi
🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣Niko kiduka cha mangi na zimua , kuna mdada kaja kavaa dela tu ndani hakuna kitu..dah kaamsha mashetani yote
Hahahaha, Umeona Sasa, hela ya fegi ume honga. Hahahaha hahahaHahahahahaha imebidi nimwambie hayo mayai nitalipa ..umependeza sana..
Hahahahaha..uzuri fegi situmii kabisa..sijahonga nimemnunulia mayai manne na pepsi take away...Hahahaha, Umeona Sasa, hela ya fegi ume honga. Hahahaha hahaha
Aisee mkubwa ukiwa waziri au muidhinishaji wa fedha za kampuni, SI uta filisi kambi. HahahahaHahahahaha..uzuri fegi situmii kabisa..sijahonga nimemnunulia mayai manne na pepsi take away...
Hahahahaha..basi mie ni mtu mmoja wa kufuata kanuni na sheria tena usije kujaribu kupindisha kitu kwangu hutoamini....haya matumizi ni petty cash vichenji vya jana usiku ...situmii nje ya bajetiAisee mkubwa ukiwa waziri au muidhinishaji wa fedha za kampuni, SI uta filisi kambi. Hahahaha
Hapo safi, mi naamini uki weza kuji tathimini wewe Kama wewe, basi ita kupa muongozo nzuri wa kutathimini vitu vingine.Hahahahaha..basi mie ni mtu mmoja wa kufuata kanuni na sheria tena usije kujaribu kupindisha kitu kwangu hutoamini....haya matumizi ni petty cash vichenji vya jana usiku ...situmii nje ya bajeti