JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nini wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fingua roho hiyo....
Ushaambiwa fil duniya wal akhera
An 2 in 1 pote pote yupo kama maji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

bado nasikiliza ushauri wa dada[emoji23],,
 
Dada ako nae..... Anaznguwa
Bana weee sikiliza moyo unasema nn alaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

aweeee unataka kunipotosha nasemajeee siko tayal kijana[emoji38][emoji38][emoji38],,, alf fanya uoe ili uwe busy na ndoa maan unakoelekea sio kuzuri kabisaaaa
 
aweeee unataka kunipotosha nasemajeee siko tayal kijana[emoji38][emoji38][emoji38],,, alf fanya uoe ili uwe busy na ndoa maan unakoelekea sio kuzuri kabisaaaa
😂😂😂😂😂 Unapigia mbuzi gitaaaa..
Mi na kuoa wapi na wapi kama leo nilikua napika ftari ya nazi....
Nazi nazi nazi 😂😂😂😂🙌🙌🙌
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unapigia mbuzi gitaaaa..
Mi na kuoa wapi na wapi kama leo nilikua napika ftari ya nazi....
Nazi nazi nazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]

yaaan nimecheka uliposema unakwangua nazi na kijiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. nikajisemea kweli huy hamnazo kabisaa poor yu[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nitarudi ukishasinzia mi siwez kuongea chchte bila mwanasheria wangu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Unaogopa swagalization sio....
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Ungetulia hapa hapa ungeona mbna ungekaa wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaogopa swagalization sio....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ungetulia hapa hapa ungeona mbna ungekaa wewe

yan umechachuka wew na huyo jirani yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],, au kisa unajua siwez kujib mapigo ndio unanifanyia kusudi,,, nyau wew[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom