GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,697
- 18,041
Kujifunza nini?Sawa nitakuja Kujifunza
Kujifunza nini?Sawa nitakuja Kujifunza
😃Kupika ujiKujifunza nini?
Weee mbona kama ulikua unaniona navyosumbuka na vikombe viwili viwli...Uji wa muhogo hauwagi mzito km wa sembe a usithubutu kunywa haujapoa😂😂😂
😂😂😂Nilijifanya kiherehere sikumoja unakuwa km umepoa ukiweka mdomoni Sasa😂😂😂Weee mbona kama ulikua unaniona navyosumbuka na vikombe viwili viwli...
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Yaaan nimetia huruma leo taratibu nikachukua kikombe kidgo cha chupu nikaanza kupoza 😂😂😂😂😂😂😂😂Nilijifanya kiherehere sikumoja unakuwa km umepoa ukiweka mdomoni Sasa😂😂😂
😂😂😂Yaaan nimetia huruma leo taratibu nikachukua kikombe kidgo cha chupu nikaanza kupoza 😂😂😂😂😂
Famasikhala nini wewe
Babe ngoja nikamalizie taraweh. Nimeshiba hapa.unauhakika umefuturu leo jion[emoji38]??