Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,516
- 16,665
Tajiri naomba afu 3
Tajiri naomba afu 3
Poleemara ya mwisho mimi nilitoa dawa nikajikuta nna ban ya mwezi mzima![]()
![]()
![]()
Dah 😂🤣😂![]()
kwa heshima ya mkuu wangu nitajifanya sijaona hii![]()
sema haijakaa vbaya mama na dada ni ile ile tuHuyo ni dada yangu mkuu
ahsante kwa compliment, na appreciate sanaMnyakyusa mwenzangu huyo..sijui kwanini katika wengi yeye mmoja wapo niliyechagua kumweshimu.But no worry kama kuna sehemu umeona nimepunguka na sijawatendea haki I swear hutoona hiyo shida tena.I jst respect you all🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Dada ako anakiwashaga hapa hadi tuna muogopa ujue 😂😂😂😂😂😂Mkuu huyo ni dada yangu ujue🤣😁
Tajiri huna baya una hela mpaka zinakukera, pole na kero tajiri 😅
Nop nop lamomy hana ubaguzi....
Nipo nae team NO STRESS ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo hapoooo....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss ni wewe achana na huyo wa mahabusu![]()
![]()
![]()
![]()
nimepenyezewa mpya kumbe anashambuliwa boss wangu intel kupitia mimi surbodinate binadamu wabaya sana![]()
![]()
![]()
niwaambie nipo pamoja na mkuu wangu no mara waar![]()
Sio ukute, ajira zipo na mshahara unapewa kabla hata ya kuanza kazi.Ameen 🙏🙏🙏🙏
Sasa mkuu unazani kwanini anasema mimi niende..
Ukute kuna ajira kule eeeeh mana ni kama bahati hii
mara ya mwisho mimi nilitoa dawa nikajikuta nna ban ya mwezi mzima![]()
![]()
![]()
Ndo uwepo sasa alaaah 😂😂😂😂😂sipoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mmmh 🤔🤔🤔🤔🤔Sio ukute, ajira zipo na mshahara unapewa kabla hata ya kuanza kazi.
ndiyo mana nakuangalia tu kipochi cha sameja najiimbia zangu nguruwe pita mkuki sinatatiz dozi zako ni kaliii[emoji38][emoji38] zinaua chap ila hii inapita taratiiibu[emoji854]
Ndo uwepo sasa alaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada ako mwenyewe kasepa shwaaaah
Sijui nani now atakupa ushauri wa kukwepa watt wa town ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂bora nikajilalie ili nisije nikaingia mkenge[emoji23][emoji23][emoji23] nitaficha wapi sura yangu mmi...... saiv nitakua siongei chochot na watoto wa mjini bila wakil na dada angu[emoji38][emoji38][emoji38]