Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,823
- 113,403
😂 ndio uende uijue sura moja halisi.Huyo ana sura nyingi km Agano la kale, mpk nakula ban selfika sijawahi kuijua sura yake halisi 🤣🤣🤣🤣
😂 ndio uende uijue sura moja halisi.Huyo ana sura nyingi km Agano la kale, mpk nakula ban selfika sijawahi kuijua sura yake halisi 🤣🤣🤣🤣
Dr sura yako sio ngeni tumeonana wapi vileHapa kweli nimebugi.
Sorry.🙁
Hapo sasa nimeanza kukuelewa aiseeeee..🙌🙌🙌🙌🤔🤔🤔🤔Sio ilazo tu hata ubalozini anaheshimika, we unadhani kulima zabibu ni suala la mchezo mchezo?
Lamomy ni kweli wewe wa kumuambia hivo mdogo wako....???
Yaani umekuja huku kumbe nimejichoma mwenyewe khaaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Lamomy = BICHWA KOMWE -Usiwe unaniita ukiwa unanyapia demu, mwenzio mi kivuruge wananijua ohhh 🤣🤣🤣🤣🤣
We unazungumzia ya kutembelea au yale matanker ya kubeba mafuta ya sheli zake?Hapo sasa nimeanza kukuelewa aiseeeee..🙌🙌🙌🙌🤔🤔🤔🤔
Huyu Fake P nahisi magari yake hapa Dom mjini ni mengi sana sio
Shemeji analifatilia tulia 😀😀😀one love cute sisy[emoji179]
alaf lile jambo letu linanikosesha usingiz ujue[emoji23][emoji23] nakukumbusha[emoji85] byeeee
Hapo kwa wizo hapo yaani mimi na wewe tupo pamoja.alula alulaa[emoji1551][emoji1551][emoji1551][emoji1551][emoji1551] amuite na wizo tu waje wakuchome vizuri
Mnyakyusa mwenzangu huyo..sijui kwanini katika wengi yeye mmoja wapo niliyechagua kumweshimu.But no worry kama kuna sehemu umeona nimepunguka na sijawatendea haki I swear hutoona hiyo shida tena.I jst respect you all[emoji1431][emoji1431][emoji1431]
🤣🤣🤣🤣 niache na wizo wangu
Mmmmh hapo nazungumzia ya mafuta...We unazungumzia ya kutembelea au yale matanker ya kubeba mafuta ya sheli zake?
Hapo kwa wizo hapo yaani mimi na wewe tupo pamoja.
Tutayaoga hapa hadi utajuta wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu dada ako nae kigeu geu...
Kabla ajaja hapa tuliongea vizuri tuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ananimudu sababu hamsumbui sameja .kama wew ndo kabisaaaaa anakumudu kwa kila kitu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alf kuna wew unae nionea mim kwa kila kitu
🤔🤔🤔Dr sura yako sio ngeni tumeonana wapi vile![]()
![]()
![]()
😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaani nyie zikiwatuma ndo hivo hivo daaah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 niache na wizo wangu
Mpaka mbwa wanayo ya kutembelea, anayo mengi sana. Fake P harudiagi gari, haijawai kutokea akarudia kutumia gari moja, akishatumia mara moja anatupa funguo.Mmmmh hapo nazungumzia ya mafuta...
Kwani yakutembelea anayo mengi pia 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🙌🙌🙌
Shemeji analifatilia tulia [emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌 Time will tell ussiwez kuyaoga dada atanitetea[emoji1787][emoji1787]....... lazima awe kigeu geu tulifunzwa kuto kusalitiana sisi ni nduguu[emoji854][emoji854]
Wakuliwa ataliwa tu hata akifanya kazi kanisani. Mi nnahisi nna nyota na ke wa sekta ya afya.Mademu wanaliwa sana,😄😄😄
Mara shift za night. Sometimes hicho ndo kiteteo 😬😬
Mnyakyusa mwenzangu huyo..sijui kwanini katika wengi yeye mmoja wapo niliyechagua kumweshimu.But no worry kama kuna sehemu umeona nimepunguka na sijawatendea haki I swear hutoona hiyo shida tena.I jst respect you all🙏🏽🙏🏽🙏🏽