Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
20:22+
Bora umeniwahi mapema Mjukuu, nilishaanza kupokea vipande 30 vya hela kama alivyofanya Yuda enzi anamsaliti Bwana Yesu [emoji847]
Nilikuwa nimeshapigia mahesabu ya kupata hela ya Kiko kabisa [emoji12]
Hapana hao watani zangu tu wala sio kesi mkuuBasi mpare.
Ila usiwe kesi
Safi sana, kumbe🔥my dear we acha tu huy ndio babu wet wa JF nzima hata wew ni babu yako piaa alikuepo toka enzi za BC[emoji23][emoji23]
Safi sana, kumbe[emoji91]
Ndio mda sana huku vjjn siunajua..yeah ndo hivyo mumy,, eh ushamaliz kupika?
Winnone na yule shadow mume wenu na yule jirani ako mandala wako wapi😜Ndio mda sana huku vjjn siunajua..
yupo wapi madam to yeye
Hapa bila kujiongeza nitaachwa ngoja niwasiliane kijijini nimpate mtaalam arudishe penzi letubabu itabidi tu ufumbe macho usikubali kupokea chchte[emoji23] lazima mtu ageuke kuku wa eid au pasaka
Ndio mda sana huku vjjn siunajua..
yupo wapi madam to yeye
Enjoy🎵my dear mim na huyo shadow tumebreak-up moyo wake upo kwa da kidoti, nilikua naforce tu kuwa kweny moyo wake ila ukweli ni kwamba sipendwi,, saiv nipo singo nainjoi
Hapa bila kujiongeza nitaachwa ngoja niwasiliane kijijini nimpate mtaalam arudishe penzi letu
Nipo hapa huna namba za mtaalam hapo kijijini kwenu kuna jambo nataka niliweke sawa
😉to yeye hizi avatar jamani
baadaye nakuja tukeshe
Enjoy[emoji444]