Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,509
Ngoja nikuandalie jamvi kabisa ukifika usipate shida Mjukuu 🤗babu mi sidhan kama nitawez kuvumilia mpka kesho,, bora nije saiv ili kesho inikute huko
Nimemweleza Bibi yako kuhusu hilo, amesema atakuandalia dozi aliyowahi kunipa Mimi Mwaka 47 hadi nikatangaza Ndoa na kumwoa ndani ya Siku 5 😜🙌