JamiiForums Usiku wa manane
Ina semekana ali mbaka msanii mwenzie, na pia Ile case ya Tupac ina fukuta moto
Aisee šŸ™Œ

Naona wanataka kumpoteza P.Diddy pia kama ilivyokuwa Kwa R. Kelly

Hayo mambo naona yanataka kuanza kushika Kasi na huku Bongo...nimeona Kuna wimbi la Wanawake kusema wamenyanyaswa na Waume zao Kwa kuingiliwa bila ridhaa zao.

Baada ya hapo Wanaume tunakula Mvua za miaka 30 Jela na kuwaacha wao wakiendelea kula Bata Mtaani šŸ™Œ
 
hay mlete huyo njiwa kwanza alf malipo nitafany baada ya salam kupokelewa
Hahaha..........jiandae kumpokea njiwa wa Babu soon šŸ¤—

Na hivi Bibi yako na Mimi tulivyomisi Ubwawa wa shughuli, tunatamani mmalize huo mchakato mapema ili tule Ubwawa wa harusi yenu mapema 😜
 
Hahaha..........jiandae kumpokea njiwa wa Babu soon

Na hivi Bibi yako na Mimi tulivyomisi Ubwawa wa shughuli, tunatamani mmalize huo mchakato mapema ili tule Ubwawa wa harusi yenu mapema

amina kubwa babu yangu mzuri,, ufanye kweli ili nikuletee kitukuu kabla macho hayajaanz kupata ukungu
 
Back
Top Bottom