Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,413
- 2,145
Sawa dingiOoh jaman nisamehe natengua kauli sasa , utakesha nami![]()
Sawa dingiOoh jaman nisamehe natengua kauli sasa , utakesha nami![]()
Inna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standingHahaha amna mimi mkeshaji mzuri tu, humu
KaribuSawa dingi

Inna naye umeona alivopotelea alafu kumi na moja asubuh anashtuka kufunga kilingeInna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standing
We cheza biko mi nacheza 3mzuka wote tukishinda tutazichanganya halafu tugawaneNgoja niongeze juhudi kwenye kucheza biko labda mwaka unaweza ukaisha kwa kicheko![]()

![]()
karbu kamanda
"mgeni aje mwenyeji apone"
Mbona unakimbia mapema hivyo??? naenda kunlala mie
Hahahaha!!! Aisee unatokea wapi? Chuga auAhsante sana mkuu ila nakuja na nauli ya kuja na kurudi tu 😀😀😀
Inna naye umeona alivopotelea alafu kumi na moja asubuh anashtuka kufunga kilinge
Yaani nyie watu siwawezi siku hizi. Sijui tufanyeje kutatua hili tatizo la watu kupotea kimya kimyaKuna mjamaa alkua anankimbizaMbona unakimbia mapema hivyo
Nimeshaachana na shule,maana niliona walimu wangu mnanipoteza,mmoja mlevi mwingine mvutabhange![]()
![]()
![]()
Usisahau kubeba na grisi ya kulainishia vyuma, vinginevyo mwenyeji wako atakununia mapemaAhsante sana mkuu ila nakuja na nauli ya kuja na kurudi tu 😀😀😀
anadai saa7, anakuja kunichek kama nipo au nisha mbonji![]()
![]()
Yaani nyie watu siwawezi siku hizi. Sijui tufanyeje kutatua hili tatizo la watu kupotea kimya kimya
Inna shahidi,unaonekanaga saa moja asubuhi kama yule mzee wa last man standing

Usiwaze atakae wahi kupata anamgawia mwenzake.We cheza biko mi nacheza 3mzuka wote tukishinda tutazichanganya halafu tugawane![]()
![]()
![]()
Baki baki kidogoKuna mjamaa alkua anankimbiza
Unaona sasa....ndio maana niliwakimbia wewe ukiingia darasani unanivutisha bhange eti ndo nitaelewa.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Akili lazima ibustiwe kwanza kabla ya kazi