Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,721
- 126,568
Moyo wangu umeanguka kwa mtu hapa, nashindwa kufunguka maana nitaleta kizaazaa hapaWenzio wanachangamkia fursa wewe hangaika na vya Chuga tu
Moyo wangu umeanguka kwa mtu hapa, nashindwa kufunguka maana nitaleta kizaazaa hapaWenzio wanachangamkia fursa wewe hangaika na vya Chuga tu
Aah mzee kumbe umebadili jina daah!! Long time broNatokea mwicho wa reli🙂🙂
It seem umenisahau am Mondray🙁
Hujipendi dingiOoho..! Usiku huu subir nikusindize
Nini hiyo, na mimi niinywe kuondoa usingizi?Kanywa nanihii ndio maana
Kwanin??Hujipendi dingi
Kwa kweli tumewahamu mno
Aaaaagggggghhhhhrrrrr![]()
![]()
sasa yule dogo aliyeibua badala ya kumpa tuzo ya ugunduzi,walimwekea nini ndani?
Jina lake ni lakichina naogopa ntatukanaNini hiyo, na mimi niinywe kuondoa usingizi?
Ohooo chelewa chelewa utakuta mwana si wako, ebu mwandikie barua ya wazi kama ile aliyoandikiwa mama Sabrina kabla hujapoteza bahatiMoyo wangu umeanguka kwa mtu hapa, nashindwa kufunguka maana nitaleta kizaazaa hapa
Aah mzee kumbe umebadili jina daah!! Long time bro
Kwasababu huku nilipo ni mchanaKwanin??
Moyo wangu umeanguka kwa mtu hapa, nashindwa kufunguka maana nitaleta kizaazaa hapa
Umejichimbia wapi?comradeKitambo sana muzeiyaa
Naomba unisaidie kuandika unitumie inbox mimi sijui kuandikaOhooo chelewa chelewa utakuta mwana si wako, ebu mwandikie barua ya wazi kama ile aliyoandikiwa mama Sabrina kabla hujapoteza bahati
Aaaaagggggghhhhhrrrrr
Tuachane na hivyo vichefu chefu bana.....
Samahani kwa kukuchefua...HmmKwasababu huku nilipo ni mchana
upo china nin?Nitajie mhusika nikuandikie fasta uirushe ili kutakapopambazuka akutane na lako la moyoniNaomba unisaidie kuandika unitumie inbox mimi sijui kuandika
Ndio ,China ya chuga Mwifwa anaipataHmmupo china nin?
Hapa sio sehemu yake bana ya kuzungumzia hayo mambo.![]()
![]()
Samahani kwa kukuchefua...
Nilisahau kuwa wewe u mwanachama kindakindaki wa chama kile
Umejichimbia wapi?comrade