Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
Hahaha na nitakila hivyohivyo maana sina option nyingine?!tena unapika chakula kibaya[emoji23]
Hahaha na nitakila hivyohivyo maana sina option nyingine?!tena unapika chakula kibaya[emoji23]
Nilikuwaje 😀nimekuona pia[emoji38]
Winnone Mlinzi
Haswaaaa..... Naitumikia Jamhuri ya Mkesha....Muhimu umekuja lindo bila shuruti
Nilikuwaje 😀
Haya nitakuwa pale...hivyo ulivyo[emoji847]
Hahaha na nitakila hivyohivyo maana sina option nyingine?!
Haya nitakuwa pale...
powerfulll unaenjoy na mawazo ya vikoba🤣. tukiwa na vijana wetu wa ulinzi wanakoroma haki ya nani mimi nitafukuza haya Intelligent businessman Shadow7 Equation x 🤣 🤣yes yes kweny ubora wetu mi na wew[emoji23][emoji23] kheri ya siku yako bana umeinjoy au hata haukua na taarifa
Akikufanyia yote hayo jiandae na invoices za hapa na pale!Mkuu, akishapika, akafua, akasafisha getto, ukamla.. the rest ni kilio.
Ivo vitu unaweza tafuta mbadala.
Nataka nivumbue yaliyomo lindoni 😀unafanya nin pale
Ndo inavyotakiwa kidume hutakiwi kuwaza kuhusu invoices, utaclear hata kwa maneno tu 🤣 🤣Akikufanyia yote hayo jiandae na invoices za hapa na pale!
[emoji38][emoji38]kesho nikitoka namuachia jirani hapa, nampoza na hela ya bando!ukome[emoji23][emoji23] na bado haujasema ukimaliza utunze vyomb ndan bila kuosha sawa intro....[emoji81]
Sasa ya nini ayo?Akikufanyia yote hayo jiandae na invoices za hapa na pale!
powerfulll unaenjoy na mawazo ya vikoba[emoji1787]. tukiwa na vijana wetu wa ulinzi wanakoroma haki ya nani mimi nitafukuza haya Intelligent businessman Shadow7 Equation x [emoji1787] [emoji1787]
Invoices zikizidi ni hatari kwa afya[emoji1787]Ndo inavyotakiwa kidume hutakiwi kuwaza kuhusu invoices, utaclear hata kwa maneno tu [emoji1787] [emoji1787]
uwakute kilabuni kwao wanavyoikataa ndoa sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣ukome[emoji23][emoji23] na bado haujasema ukimaliza utunze vyomb ndan bila kuosha sawa intro....[emoji81]
[emoji38][emoji38]kesho nikitoka namuachia jirani hapa, nampoza na hela ya bando!
uwakute kilabuni kwao wanavyoikataa ndoa sasa [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Usitumie utauzoesha utateseka,kunywa maziwa ya moto...na jaribu kuwa na furaha ondoa mawazo sio kwa pombe.Nataka nianze kutumia dawa za usingizi. Ushauri?