Raine Col
JF-Expert Member
- Mar 1, 2024
- 468
- 1,462
shona tulia 🤣 nguvu matamanio unatoa where, wakati apeche apecheeTatizo ni bei ya mkaa 😀 😀
shona tulia 🤣 nguvu matamanio unatoa where, wakati apeche apecheeTatizo ni bei ya mkaa 😀 😀
Huo sio uzalendo sasashona tulia 🤣 nguvu matamanio unatoa where, wakati apeche apechee
😀 😀 😀 ebu kunja nne watu wakuone
Una ufahamu ule wimbo wa bob h; 'yule mchawi yuko wapi tumkate mapang.....ana macho mekundu...'
Niachane na kataa ndoa movement... Haiwezekani wakati huu watu wamelala mimi ndio napika!
Mkuu, akishapika, akafua, akasafisha getto, ukamla.. the rest ni kilio.Niachane na kataa ndoa movement... Haiwezekani wakati huu watu wamelala mimi ndio napika!
TumiaNataka nianze kutumia dawa za usingizi. Ushauri?
Toa ushauri, mazuri na mabaya yake. Kama hauna tulia pambana na insomnia yako.Tumia
Nimekuona kwa mbali sanahahaha na nimekunja kweli ila sion watu wa kuniona hapa[emoji41]
Muhimu umekuja lindo bila shurutiNipo lindoni kwa uaminifu kabisa 0122hrs
Tumia
Umetaka ushauri wa nini wewe maji taka 🤣Toa ushauri, mazuri na mabaya yake. Kama hauna tulia pambana na insomnia yako.
Nimekuona kwa mbali sana
Winnone Mlinziraine...
Ulikuwa umezaliwa kweli?hap ilikua zama za kale [emoji23]