Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Nataka nivumbue yaliyomo lindoni 😀
sawa sawa kijana
Nataka nivumbue yaliyomo lindoni 😀
Sawa mzee 😀sawa sawa kijana
Sawa mzee 😀
Kufua na usafi hainipi shida hiyo ..Sasa ya nini ayo?
Kufua & usafi - Jipange washing machine, au mama fua, au piga mazoezi ya kufua na usafi weekend.
Kupika - Pika vitu simple mayai, chai, wali kwenye rice cooker. Uzuri wa wali unaenda na mboga yoyote, ata wali kwa wali mwezie.
Kunyandua - hapa unatafuta wale wa kuja 1 day jumamos anasepa. Kisingizio mdogo wangu wa IFM kafunga chuo hawezi kurudi kwetu Butiama likizo fupi anakaa hapa ghetto.
Oyaa.
Kufua na usafi hainipi shida hiyo ..
Hapo kwenye kupika najikuta nakula wali kila siku na mayai mpaka nachoka.
Unamfahamu huyu...umeijuaje siri yangu jamn[emoji853] mbon imekua mapema hivyo[emoji23][emoji23] nilitaka nisound na biti la vijana ko unaniumbua au sio
Jinga 🤣🤣powerfulll unaenjoy na mawazo ya vikoba🤣. tukiwa na vijana wetu wa ulinzi wanakoroma haki ya nani mimi nitafukuza haya Intelligent businessman Shadow7 Equation x 🤣 🤣
Enhee bwana ..haiwezekani jirani anashinda nyumbani siku nzima anaangalia maisha magic bongo halafu ashindwe kunisuuzia vyombo vyangu viwili[emoji16]hahahah unadumisha ujiran mwema au sio
01:42
Kuna wagonjwa wangu nasikia wanakohoa ngoja nikawafunike mashuka [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Makalai ni nini??01:42
Kuna wagonjwa wangu nasikia wanakohoa ngoja nikawafunike mashuka 🤣 🤣 🤣
Enhee bwana ..haiwezekani jirani anashinda nyumbani siku nzima anaangalia maisha magic bongo halafu ashindwe kunisuuzia vyombo vyangu viwili[emoji16]
Unamfahamu huyu...
View attachment 2927653
Kama unakosa usingizi usiku, tafuta shughuli ya kujichosha karibia na usiku, utalala tu.Nataka nianze kutumia dawa za usingizi. Ushauri?
Mwambie namsalimiandio ni jirani yangu hapa mtaani
Kazi zetu manesi wa zamu buana 🤣 mje kulalamika manesi wanaroho mbayasince when umeanza kuwa na good patient care mpka imepitiliza namna hiyo[emoji38] em sema vizuri
wewe nawe mmbea khaaa! si ungeyaacha kulekule 🤣🤣Makalai ni nini??
Hahaha..hiyo ni kazi ya kuku!ipo siku utayatotoa hayo mayai nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nauliza tu😂wewe nawe mmbea khaaa! si ungeyaacha kulekule 🤣🤣