mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,804
Sio kweli, kuna wadada nawaona mtaani wazuri kulikoKIgoli mkali wa 2k
Sio kweli, kuna wadada nawaona mtaani wazuri kulikoKIgoli mkali wa 2k
Leo ume ongea point, beside kina kaa empty empty😆🤣.Sio kweli, kuna wadada nawaona mtaani wazuri kuliko
Especially ukiwa unataka kuingia kwenye ndoa mwenyewe hapa nmegundua mengi sanaKuna baadhi ya changamoto zinatusaidia kujua uhalisia wa roho za watu tulionao karibu kwamba ni watu wa aina gani kwetu.......
KIgoli mkali wa 2k vijana wanafaidi sana
Pole Sana mkuu, hospital gani??Nipo hospitalini tangu saa 12 na nusu nimegongwa na gari nikiwa kwenye boda boda boda niliyo Kodi nimevunjika miguu..
It's pain full namaumivu sana Kuna muda nalia Mungu anisaidie Kwa kwel
muendelee hivyo hivyo msichokaneDogo mshamba_hachekwi unazinguaaaa. Nikikaa kimya unanisema 😅😅
Niache nimuenzi kaka mzuri wangu, anastahili.
Mahi kama mahi 🤣🤣🤣muendelee hivyo hivyo msichokane
nawatakia kila la heri mtu na mahi wake😂
Happy valentine NifahDogo mshamba_hachekwi unazinguaaaa. Nikikaa kimya unanisema 😅😅
Niache nimuenzi kaka mzuri wangu, anastahili.
Huwa sa ingine natulia zangu Toi kimya napiga hii game
Kuna baadhi ya changamoto zinatusaidia kujua uhalisia wa roho za watu tulionao karibu kwamba ni watu wa aina gani kwetu.......
KIgoli mkali wa 2k vijana wanafaidi sana