Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Ni sahihi mkuu.Yeah nina vi stories fulani hivi ila ndio hivyo sasa na ndio maana huwa nachombeza ktk nyuzi za watu
Ni sahihi mkuu.Yeah nina vi stories fulani hivi ila ndio hivyo sasa na ndio maana huwa nachombeza ktk nyuzi za watu
Wazee wa Dar ndio wanatuchanganya na videvu vyao wanaweka mvi,,,Wana matashititi sana wazee wa hivyo😁😁watoto was dar mna vurugu😀😁
Mh Ume kunywa nini, mbona ume chachuka leo😀😁Wazee wa Dar ndio wanatuchanganya na videvu vyao wanaweka mvi,,,Wana matashititi sana wazee wa hivyo😁😁
Hahahahaha....hiyo ngumu RafikiHuyo kwenye Avatar umesema una story yake nisimulie basi!maana kidevu chake kinavutia😁😁😁
Hahahahaha...Rafiki umevurugwa na kidevu chenye mvi ?Wazee wa Dar ndio wanatuchanganya na videvu vyao wanaweka mvi,,,Wana matashititi sana wazee wa hivyo😁😁
Kizuri sana,ha haaaa haaaHahahahaha...Rafiki umevurugwa na kidevu chenye mvi ?
Ha haaaaa haaaaaaaHahahahaha....hiyo ngumu Rafiki
Hahahahaha...we mkorofiKizuri sana,ha haaaa haaa
Hii si mpk uwe hujanywa ndio mtu atacheza
Hii hapana aisee😆😆😀, nika jua una penda game za mpira au action.
Hahaha, Hiyo game mi hapana aiseeHii si mpk uwe hujanywa ndio mtu atacheza
HahahahahaHahaha, Hiyo game mi hapana aisee
Huwa sa ingine natulia zangu Toi kimya napiga hii gameHii si mpk uwe hujanywa ndio mtu atacheza
Hahahahaha...Toi unapiga game huku umetulia kimyaAaaHuwa sa ingine natulia zangu Toi kimya napiga hii game
Yeah, mie mpenzi mzuri sana wa movies, hasa hizi horrors....Hii hapana aisee😆😆😀, nika jua una penda game za mpira au action.
👉Labda upande Wa movies, ndo tunaeza kuwa connected
Sehemu ya utulivu...Hahahahaha...Toi unapiga game huku umetulia kimyaAaa
Hahahahaha...sawa sawaSehemu ya utulivu...