JamiiForums Usiku wa manane
Jamaa aliye Panga azimio la kumpindua mwalimu nyerere Mwaka 1982.
👉Ali itwa Eugene maganga, wali feli Jamaa aka firisika mnoo
Huyu jamaa nilimsoma sana maandiko yake juu ya hilo zoezi la kumpindua Nyerere...
Kati ya watu niliyowahi kukaa nae na kujipa hiyo story ni marehemu my brother Hans pope .
 
Kuna mzee ali wahi pigana Vita dhidi ya idd amin kipindi kile.
Basi huwa ana jieleza habari nyingi Sana.

Kuhusu kombania ya chui(Kama sija kosea) ilivyo kuwa hatari Sana.
Kuna wengine wali potea wote, kisa kuua watoto wadogo tu.
 
Wanakuaga na stori...

Wkt niko mdg nilihadithiwa kuhusu Uhaini wa akina maganga..nilipokua secondary nikasoma hadithi yote...siku moja nasafiri kwenda Misri ktk huo msafara alikuwepp Hans pope aisee nilishindwa kujizuia na kumfuata kumuomba walau aniambie kile nilichosikia na kusoma juu yao...alinipa story ndefu na nzuri
 
Basi ulikuwa na bahati, kukutana na master plan mwenyewe
 
Wanakuaga na stori...

Wkt niko mdg nilihadithiwa kuhusu Uhaini wa akina maganga..nilipokua secondary nikasoma hadithi yote...siku moja nasafiri kwenda Misri ktk huo msafara alikuwepp Hans pope aisee nilishindwa kujizuia na kumfuata kumuomba walau aniambie kile nilichosikia na kusoma juu yao...alinipa story ndefu na nzuri
Mimi nilikutana na Captain Kadego Kibo complex. Naye alinipa story nzuri sana ya mapinduzi. Ila waliohusika ikiwemo yeye walikuwa 'vichwa sana'.

Story ilikuwa nzuri sana japo alikatiza. Nafikiri aina ya udadisi akadhani mimi mtu wa kitengo
 
Hahahahaha...wale jamaa walikua vichwa haswa...alikuwa akinisimulia nilikua naona km movie hv kumbe kweli.
 
Back
Top Bottom