JamiiForums Usiku wa manane
Asante mkuu, nipe muongozo / katiba ya humu ndani
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
 
Sio kwa speed hii kamanda upo sharp balaa, just imagine comment yangu imepishana na reply yako in just 1 min!!!

Hapo kwenye ibada bado umeniacha mataa, ni aina gani ya ibada hiyo mkali? Meditation, prayer, kula au yale mambo
 
Back
Top Bottom