MID_NIGHT
Member
- Nov 19, 2023
- 35
- 82
Me ndio nataka kuingia nitafute mkuu sina nalojua niwe mkweli ndio naanza! Yani sijui nifanye nini pale ili nimake.Ngoja nimuulize anataka connection Gani
Naomba ramani mkuu
Me ndio nataka kuingia nitafute mkuu sina nalojua niwe mkweli ndio naanza! Yani sijui nifanye nini pale ili nimake.Ngoja nimuulize anataka connection Gani
Duh sijui hata nianzie wapiMe ndio nataka kuingia nitafute mkuu sina nalojua niwe mkweli ndio naanza! Yani sijui nifanye nini pale ili nimake.
Naomba ramani mkuu
Sana nina uzoefu wa maeneo hayaDuh sijui hata nianzie wapi
Una marafiki kariakoo?Sana nina uzoefu wa maeneo haya
Computer kuuza na kurepair
Kuuza simu
Ninaye mmoja ila amesafiri kwenda arushaUna marafiki kariakoo?
Una kichaa wewe, kaka mzuri wangu sio huyo.Hii imwendee Kichwa kichafu
AtakujibuNgoja nimuulize anataka connection Gani
Nikipendwa hivi kama unavyompenda huyo kaka yako nampa dunia.Una kichaa wewe, kaka mzuri wangu sio huyo.
He is the only one I love.
Zingatia neno mzuri, je wewe ni mzuri?Nikipendwa hivi kama unavyompenda huyo kaka yako nampa dunia.
sijui hayo yote ila nahitaji mtu kama weweZingatia neno mzuri, je wewe ni mzuri?
Sina maana ya uzuri wa muonekano katika hilo, ana mengi mazuri.
Hakikisha na wewe una mengi mazuri, utapendwa tu na wewe japo mi nampenda zaidi 😃😃
Kwa kuwa umeona hujachelewa mdada muzuri.Mchana mwema kaka Mzuri.
Asante japo nimechelewa.
Hivi mtu km mm naeza pata wakunipenda kweli?Zingatia neno mzuri, je wewe ni mzuri?
Sina maana ya uzuri wa muonekano katika hilo, ana mengi mazuri.
Hakikisha na wewe una mengi mazuri, utapendwa tu na wewe japo mi nampenda zaidi 😃😃
Umenichekesha sana. We si ulisema una mke jamani? Hakupendi?Hivi mtu km mm naeza pata wakunipenda kweli?
Hahahahaha, Mke kaniacha mwaka wa pili huu ..huoni navyoteseka kukesha usikuUmenichekesha sana. We si ulisema una mke jamani? Hakupendi?
Masikini! Hakuwa wako, vuta subira wako anakuja, na atakupenda namna unavyopenda wewe.Hahahahaha, Mke kaniacha mwaka wa pili huu ..huoni navyoteseka kukesha usiku
Oh Lord! Hiyo ni mbaya zaidi, Mungu akuokoe kwenye hilo shimo.Hahahahahaha...sidhani..nishakataga tamaa siku nyingi ..now naenda kwa style ya nakulipa nasepa