Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,797
- 122,970
26'
Uwe unapumzika utaumwa bure mkuuMadam ni sawa sawa na kuomba maji baharini.
Mkuu naona umeishaianza valentine's day😀 hako kawimbo ndiyo msimu wake huu
Na Valentinika mwenyeweMkuu naona umeishaianza valentine's day😀 naona hako kawimbo ndiyo msimu wake huu
Uwe unapumzika utaumwa bure mkuu
Jana kuna bandiko nilisoma nikakuta comment yako, nikasema mbona huyu binti kawa adimu sana, kumbe upoUwe unapumzika utaumwa bure mkuu
Aah mwenyewe vipi tena mkuu?, ila siyo mbaya Self love is also a good thing. Enjoy😀Na Valentinika mwenyewe
Ooh nipo mkuu, ubusy kiasi ila nipo namshukuru Mungu , how are you too?Jana kuna bandiko nilisoma nikakuta comment yako, nikasema mbona huyu binti kawa adimu sana, kumbe upo
Kwanini umepost picha yangu lkn😆I mean no malice to nobody
View attachment 2892442
Wee, even though I don't know you.Kwanini umepost picha yangu lkn😆
Am doing great, nilikuta unashanngaa vijana wanajisifu kutembea na wake za watu wakati singles are there abundantlyOoh nipo mkuu, ubusy kiasi ila nipo namshukuru Mungu , how are you too?
Mapenzi?01:39
Missed his calls, nasubiri anipigie tena [emoji24][emoji24]