JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

00:21 the man has wisdom to think before acting, Dem ni waki kinyama🤣😄.
👉Sijui Wana mvumilia vipi??, Maana ni empty set 🤣😄
 
Kama kuna mtu amepanda hii ally’s star ya kwenda mwanza iliyopo dodoma

Mwambie huyo mdada mweupe mwenye bleach naomba namba yake

😁😁😁😁

00:57
 
02:10

Kuna mikoa ni mikubwa mpaka basi
Bado sijafika nane nane

Kuhusu yule bleach naona amelala kajifunika kamtandio flani kakishua

Iphone yake inaita
Wamuache alale mdada wa watu
Amechoka
 
Back
Top Bottom