Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
02:19 all odds against me🤒
InsomniaMwaka wa 8 sasa usingizi kwangu ni kizungumkuti.
Jitahidi kunywa maziwa mgando na ndizi 2 jioni mkuu.Mwaka wa 8 sasa usingizi kwangu ni kizungumkuti.
We jomba nawee,😄Insomnia
NadhaniInsomnia
Duuh nitajaribu, ila nyingi nimejaribu zimeshindwa, mbinu iliyofanikiwa mpaka sasa ni mitungi siku ya ijumaa na jmosiJitahidi kunywa maziwa mgando na ndizi 2 jioni mkuu.
Ulishafanya jitihad za kuslove tatizoNadhani
Na wewe ni mmoja wapo niniWe jomba nawee,😄
Nimefanya nyingi kasoro ya kujaribu kutumia vidonge vya usingiziUlishafanya jitihad za kuslove tatizo
Trust in this bro, hi Hakikisha ume kula- 20-30 minutes later ndo unywe maziwa na ndizi 2-3.Duuh nitajaribu, ila nyingi nimejaribu zimeshindwa, mbinu iliyofanikiwa mpaka sasa ni mitungi siku ya ijumaa na jmosi
NItajaribu leoTrust in this bro, hi Hakikisha ume kula- 20-30 minutes later ndo unywe maziwa na ndizi 2-3.
👉Utalala mnoo😄🤣
Mi Jobless pro max, that's why Sina haki ya kupata usingizi😄🤣🤣Na wewe ni mmoja wapo nini