Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,736
02:59
Usiku sanaaaa.
#YNWA
Usiku sanaaaa.
#YNWA


Wenzio walinzi tulishazoeaTaaluma za afya ni kujitoa..kwa hizi night shift sidhani kama ntatoboa 3years kwenye hii kazi![]()

Na umeme umeenda...Kuna bomge la mvua, upepo mkali na radi hadi naogopa kulala😪
NdioNa umeme umeenda...
Tajiri hulalagi02:48 it doesn't make sense, niki tafuta mpiga nyeto- mwenye mabao 80 msimu huu nakosa😃🤣🤒
👉 Nusu albinoo Half american, dronedrake, fundi bishoo
Punguza mibangi, mdogo wetu🤒😃Tajiri hulalagi
Sijawai tumia mjaniPunguza mibangi, mdogo wetu🤒😃
Sasa mbona una niambia silali, una taka nionekane mi robot au😃Sijawai tumia mjani
We n lirobot la AISasa mbona una niambia silali, una taka nionekane mi robot au😃
mzee baba unalala saa ngap unaamka saa ngapi🤣🤣 ww ndo ulifaa uwe mgangaPunguza mibangi, mdogo wetu🤒😃
Wengine tungefia kitandani leo. Nimeamka nakuta nje kumeloa, naambiwa imenyesha mvua sio ya kawaida, upepo na radi za nguvu. Yote hayo sikusikia, nachokumbuka wakati narudi kulikuwa na vimanyunyu tu!Kuna bomge la mvua, upepo mkali na radi hadi naogopa kulala![]()
Wewe ndo umefaidi baridi la leo.Wengine tungefia kitandani leo. Nimeamka nakuta nje kumeloa, naambiwa imenyesha mvua sio ya kawaida, upepo na radi za nguvu. Yote hayo sikusikia, nachokumbuka wakati narudi kulikuwa na vimanyunyu tu!
Napumzika silali kish3nzi😃😂mzee baba unalala saa ngap unaamka saa ngapi🤣🤣 ww ndo ulifaa uwe mganga
Wee kenge tu😃😂We n lirobot la AI