Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,935
- 61,723
Ma game yanasaidia nini?01:07 game lenyewe Lina nishinda, Bora niendelee na game of thrones tu🤒
Ma game yanasaidia nini?01:07 game lenyewe Lina nishinda, Bora niendelee na game of thrones tu🤒
Uchumi wa dunia 🤒😃Ma game yanasaidia nini?
Nyie ndo mnawanyandua wagonjwa na manesi usiku huu wodini huko[emoji38]Taaluma za afya ni kujitoa..kwa hizi night shift sidhani kama ntatoboa 3years kwenye hii kazi[emoji42][emoji42][emoji42]
Wenzio walinzi tulishazoea[emoji16]Taaluma za afya ni kujitoa..kwa hizi night shift sidhani kama ntatoboa 3years kwenye hii kazi[emoji42][emoji42][emoji42]