Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,369
Ashafika mudaaaa 😜Haya 😃😂 00:32
Ashafika mudaaaa 😜Haya 😃😂 00:32
Hee sasa si ulale😃🤣Ashafika mudaaaa 😜
Mpaka Ume pagawa😃, ni 00:48 bhana00:47
I love him!
Hapana, subiri kesho ifike utaona.Mpaka Ume pagawa😃, ni 00:48 bhana
haya weka yako 🤣😂, ni 00:50Hapana, subiri kesho ifike utaona.
Nilihakikisha kabla ya kupost.
Kupagawa nimepagawa kweli ila sio katika muda 🤣🤣✌🏽
Kazi ya ulinzi vip unaweza nikupe kitengoKuna fursa gani humu
Linda mwenyewe, huu ni muda wa kuongeza familiaKazi ya ulinzi vip unaweza nikupe kitengo
Utaki kazi wewe 😂😂Linda mwenyewe, huu ni muda wa kuongeza familia
Familia unaongeza kwenye keyboard 😂🤩🤣😁Linda mwenyewe, huu ni muda wa kuongeza familia
Hii ndio sababu kuu inayosababisha mtoto kufanana na jiraniUtaki kazi wewe 😂😂
Kwani keyboard ndio inaongeza familia?Familia unaongeza kwenye keyboard 😂🤩🤣😁
Kabisa walizingua sana ndo maana Mimi nilivyo cheki Kila kipande nilikuwa napeleka mbele sana vile vipande vya kula tunda ni jauNi wehu, wali tumika vibaya.