Aiseeeh!! Jasmini mzima.
We kwani umewahi kushindwa? Labda uamue tu 🤣Ikifika 00:00 ni ndani ya usiku wa manane. Lol
Ova
Heeeee! Mahaba yote hayo kuna ex kweli hapo?Nimemkumbuka sana my one and only.
My lovely ex.
Alipenda sana kuja kwenye huu uzi, na mimi sijapita hapa long long time.
More than 3years now.
Mambo vipi wadau?
Kizuri mnooo, Kuna wale wazalendo- binti mkata mauno😃😀
Nitakujibu Usiku wa manane.Heeeee! Mahaba yote hayo kuna ex kweli hapo?
Watu mnatoa wapi mahaba kwa ex jamani? Hata kama hamkuachana kwa ubaya, loh!
Haki! Sio yule King’asti sijui?Nitakujibu Usiku wa manane.
Inawezekana pia hukutujua eti.
Yes, kizuri sana, kina movie yake pia.Kizuri mnooo, Kuna wale wazalendo- binti mkata mauno😃😀
Jasmin mtoto hatari ana sumaku.Aiseeeh!! Jasmini mzima.
03:45
Nahisi Nisha wahi isikia.Yes, kizuri sana, kina movie yake pia.