Duh mpk muda huo hajarudi?03:20
I miss him!
Siishi nae, nisipompata kwenye simu naugua.Duh mpk muda huo hajarudi?
Naogopa, kwenye Safari mapenziSiishi nae, nisipompata kwenye simu naugua.
Haya mambo yasikie tu, unaweza kumcheka mtu hadi upitie na wewe ndio utajua…
Aisee basi mie najuaga mko wote daily ,jinsi unavyo mu address humuSiishi nae, nisipompata kwenye simu naugua.
Haya mambo yasikie tu, unaweza kumcheka mtu hadi upitie na wewe ndio utajua…
Usiogope, mapenzi matam sana ukimpata mtu sahihi kama mimi.Naogopa, kwenye Safari mapenzi
Mi nisi husike
Nampenda sana ndio maana, subiri utajua tu si nilisema nitakuja na uzi wake? 😜Aisee basi mie najuaga mko wote daily ,jinsi unavyo mu address humu
Hahahaha,naye mtu wa outing za nite nini ?
Hiyo post nikakumbuka verse ya lady JD, "kula bibi huyo haji yuko na washikajiii"
Ni kweli we mtu sahihi, sasa inabidi uwe na mtu sahihi zaidi asikusumbua km hivyoUsiogope, mapenzi matam sana ukimpata mtu sahihi kama mimi.
Basi tu yuko busy mi sijazoea ndio nateseka, ila tuko vizuri.
Sasa wewe unausemea Moyo , ila vzr kuamini unachoaminiNampenda sana ndio maana, subiri utajua tu si nilisema nitakuja na uzi wake? 😜
Yes, alikuwa mtu wa hivyo ila nimemkataza, sipendi na hatoki tena.
Umenichekesha, usiusemee moyo… eti? Lols
Hanisumbui jamani, yuko busy na majukumu ya kikazi na najua anachokifanya hatua kwa hatua.Ni kweli we mtu sahihi, sasa inabidi uwe na mtu sahihi zaidi asikusumbua km hivyo
NB: nipate mtu km wewe ,nanchang kazi ya ulinzi na kudhurura usiku , mrembo km wewe unaachwaje pekee yako?
Kama huna imani juu ya mpenzi wako hayo sio mapenzi.Sasa wewe unausemea Moyo , ila vzr kuamini unachoamini
Maybe, ila shida mi natuamiaga Akili kuliko hisia😃🤒.Usiogope, mapenzi matam sana ukimpata mtu sahihi kama mimi.
Basi tu yuko busy mi sijazoea ndio nateseka, ila tuko vizuri.
Hiyo sio shida, ndivyo inavyotakiwa.Maybe, ila shida mi natuamiaga Akili kuliko hisia😃🤒.
Kweli teacher wangu, nina vingi vya kuji funzaHiyo sio shida, ndivyo inavyotakiwa.
Lazima utumie akili na hisia kumpata aliye sahihi.
Ooh sawa sawaHanisumbui jamani, yuko busy na majukumu ya kikazi na najua anachokifanya hatua kwa hatua.
Mimi tu ndio nashindwa kukubaliana na hali kwa kuwa nimemzoea sana.