dhk1
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,011
- 661
B... jamani! Kweli huo ni usiku wa manane?23:53
Ova
Ni mwanzo wa usiku wa manane.B... jamani! Kweli huo ni usiku wa manane?
Haaaa!
Hapana bwanaaaaa...Ni mwanzo wa usiku wa manane.
Ova
Muda mzuri wa kutoka ,na kuanza lindoNi mwanzo wa usiku wa manane.
Ova
Vipi na leoJamani usiseme hvo.
Wote tulikuwa tunakojozana
HahahahahaVipi na leo
Hakika mkuu. Ndiyo mwanzo wa kutolala.Muda mzuri wa kutoka ,na kuanza lindo
Ikifika 00:00 ni ndani ya usiku wa manane. LolHapana bwanaaaaa...
Ni karibu na... sio mwanzo b!