Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,683
- 208,885
😂😂 na kulala kote kule bado mning’inio haijaisha?Mrembo wetu... Nisemeshe kiswahili aisee bado nna wenge
Nauliza tu waendeleaje mkuu..
😂😂 na kulala kote kule bado mning’inio haijaisha?Mrembo wetu... Nisemeshe kiswahili aisee bado nna wenge
Simba la masimba dangoteTiritiri tiri tiririiiii 😂
Wazee wa suti kuu kuu na chafu
Si ndiyo miitikio yetu hiyo watoto wa kike 😁Umeitika vizuri sana aisee
Kutoka kwa?? 😂😂Kuna siku nilipewa ujumbe wako nikatingwa haukufika.
Lol! Where has the lucky one taken your heart?He is stealing my heart 🥲🥹
Hah nalipa deni la usingizi .. Si unajua hakuna atakaye kulipia.. niko safi safi. Inakuaje mpk time hii upo huku? Achana na vijana wanaopiga kibongo fleva..😂😂 na kulala kote kule bado mning’inio haijaisha?
Nauliza tu waendeleaje mkuu..
Umesahau too much money ila dj misso misondo kali yaoSimba la masimba dangote
Zingatia zingatia maokoto
😂😂😂😂😂😂 bwanaa, wanatupa kicheko sana
Ngoja ajeSanaaa Demi watu wake hao 😂
Kaimba Geres inaitwa medzo
😂 sasa mbona hawaimbi?
I have no idea, just following his lead!Lol! Where has the lucky one taken your heart?
Ova
kisandawe hicho haujui?😂😂 sasa mbona hawaimbi?
Nikiamka hapa nilipo,, nikikifikia kitanda.. sichukui 5 minutes nakuwa nishazima.Hah nalipa deni la usingizi .. Si unajua hakuna atakaye kulipia.. niko safi safi. Inakuaje mpk time hii upo huku? Achana na vijana wanaopiga kibongo fleva..