Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,819
- 113,384
Sasa nijue kisandawe kwani mim ni msandawe 😂kisandawe hicho haujui?😂
Sasa nijue kisandawe kwani mim ni msandawe 😂kisandawe hicho haujui?😂
Sio kweliKaimba Geres inaitwa medzo
We niset tu.. ila ushanielewa mkuu... Halafu jibu PM basi hukoNikiamka hapa nilipo,, nikikifikia kitanda.. sichukui 5 minutes nakuwa nishazima.
Sahivi nasikiliza naija ‘African Queen…
bongo fleva nmemaliza 😂😂
Analalaje wakati wanae kina misso misondo wapo kazini 😂Ngoja aamke sahizi kashalala
00:35
Kula bia wewe acha uoga na kusingizia uchungu.Hongera sana mkuu.. Mwenyezi Mungu amkuze vyema ktk kimo na hekima🙏
ila id yako ina jina la bia ya kwanza kuitest nikakuta ni chunguu, mbaya mbaya… sikurudia mpk walipoleta flying fish
We niset tu.. ila ushanielewa mkuu... Halafu jibu PM basi huko
Huo mchele usinwagwe kwa mandege joniKutoka kwa?? 😂😂
Kitu chungu mimi nehiiiKula bia wewe acha uoga na kusingizia uchungu.
HahahaaHuo mchele usinwagwe kwa mandege joni
Kwamba wanywaji bia wote tuna vitambi?Kitu chungu mimi nehiii
Ndo maana smirnoff wamenidaka sana 😂😂🤣
Afu mibia yenu ya Tanzania kimea kingi ndo maana raia mna vitambii
Kama huna thibitisha? Najua mna vitambi na vitumbo 🤣🤣Kwamba wanywaji bia wote tuna vitambi?