Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
Vipi mtu wako wa whatsappSasa ndio nalala siriaz ,nazima data ,simu pamoja na kuiacha charging.
Vipi mtu wako wa whatsappSasa ndio nalala siriaz ,nazima data ,simu pamoja na kuiacha charging.
Niliacha since the day before yesterday😂😂😂😋usisahau kujichua
kaka leo watu hawapo12:00 AM
ni usiku mwingine tena
nitalinda mimi mbona nawezakaka leo watu hawapo
Ubongo hafifu.12:07 @m
Dodoma
22 Oct 2023
Its poor brain...Ubongo hafifu.
shem anazingua unachezea simu saizi?Its poor brain...
😂😂😂😂😂✊✊
No wahalashem anazingua unachezea simu saiz
00;51 mapopoNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Ni vipi mkali00;51 mapopo
Kunywa maji mkuuKuna mimbwa ina pandana hatari hapa nilipo ni makelele tu.