Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Ume fanyaje???, Nita kucheki midaHadi huku wamekata aisee na mguu una niuma toka majuzi
Ume fanyaje???, Nita kucheki midaHadi huku wamekata aisee na mguu una niuma toka majuzi
Kipande cha ardhi maana yake ni eneo ulipo mkuu.Sijaelewa hapo mkuu kuhusu "kupenda cha Ardhi"
Siunajua lindo mkuuUlilala jiran na mto au 😂
Ni mguu wa kushoto sehemu ya kisigino nikikanyaga napata maumivu makali sanaUme fanyaje???, Nita kucheki mida
Hatari sanaSiunajua lindo mkuu
Usijali mkali wewe huna sauti mbaya.[emoji23][emoji23][emoji23] sauti inaniangusha tatizo
Leo nakuimbia Saad mida mida nikiwa nimetupia vitu
Usijali mkali wewe huna sauti mbaya.
Amini mamii
Siwezi kukwambia ule yai wakati sauti hiyo inatosha kuniburudisha.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we nijaze nichekeshe walionuna
Au una magwambara a.k.a magwast 🤔😆😆😆🤣🤣Ni mguu wa kushoto sehemu ya kisigino nikikanyaga napata maumivu makali sana
Ni ugonjwa gani uo kakaAu una magwambara a.k.a magwast 🤔😆😆😆🤣🤣
Daah hii nyimboWhiz Khalifa ft snoop Doggy
Young wild
usisahau kujichuaUsiku mwema bhana...mi nimejichokea hapa😒
[emoji1666]Usiku mwema bhana...mi nimejichokea hapa[emoji19]