Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,478
- 3,076
Kumekuchaaa
One day Yes ,siku ya pili leo hayupo lindoni unamkosa..To yeye
Hujambo dear
mwijaku ndo kapeleka
Usiombe wawe kitandani utakesha bila kupenda.
[emoji38][emoji38] tuwe tunaacha nguo zetu hukuhuku bongomwijaku ndo kapeleka
Hao jamaa kipindi nipo shule, ilikuwa nalala halafu naamka nashuka kitandan napumzika kwanzaUsiombe wawe kitandani utakesha bila kupenda.
Si u-charge mzee, au tanesco washafanya yaoSimu yangu imebaki na 3% inabidi nilale tu hakuna namna.
Sasa ni 1% nimekujibu kwenye screenshot chini hapo.Si u-charge mzee, au tanesco washafanya yao
Weka simu chaji mkuuSasa ni 1% nimekujibu kwenye screenshot chini hapo.View attachment 2787717
Nimerudi nachatt huku ipo charging kwenye switch ,nilitaka nilale ila Wasap nimepata wa kuchatt nae .Weka simu chaji mkuu
[emoji23][emoji23] mzee unafatilia code au sioOne day Yes ,siku ya pili leo hayupo lindoni unamkosa..
Nimesomea Cuba usinichukulie poa 😆😆😂[emoji23][emoji23] mzee unafatilia code au sio
DuuhNimesomea Cuba usinichukulie poa [emoji38][emoji38][emoji23]
Hiyo itakuwa chombo tu[emoji23]Nimerudi nachatt huku ipo charging kwenye switch ,nilitaka nilale ila Wasap nimepata wa kuchatt nae .