Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 43,985
- 95,439
Verse anazo nyingi mno, kaangalie mocking bird, no love, monster, not afraid, public enemykwamba hiyo verse ndio kali sana from him,.
Verse anazo nyingi mno, kaangalie mocking bird, no love, monster, not afraid, public enemykwamba hiyo verse ndio kali sana from him,.
ukilala sanaHivi inakuaje mtu unachoka kulala???
Mimi nimeamua kwenda Club, Napata Absolute Vodka na Bitter lemon bariidiHivi inakuaje mtu unachoka kulala???
Duh shida Nini Tena?Duu kweli maana najuta hata kwanini usiku upo maana si kwashida hizi xaani natamani hata kujuwa wachawi nao hawana usingizi kweli.
Mimi club nilikuwa jana hivi nimetoka kwenye sherehe lakini sijisikii kulala kuwaka mara mbili mfulilizo sipendiMimi nimeamua kwenda Club, Napata Absolute Vodka na Bitter lemon bariidi
Afu ata sio sana hivi nimetoka sehemu sijisikii kulalaukilala sana
Ili ulale inabidi uwe busy mchana to the extent that mwili uwe umechoka uhitaji kupumzika, Ila kama mwili umeupumzisha mchana mzima lazima ukose usingiziDuu kweli maana najuta hata kwanini usiku upo maana si kwashida hizi xaani natamani hata kujuwa wachawi nao hawana usingizi kweli.
Basi find something of your interest and do it, Ipo siku moja niliamka nikafua usiku huwezi amini kisa kukosa usingiziMimi club nilikuwa jana hivi nimetoka kwenye sherehe lakini sijisikii kulala kuwaka mara mbili mfulilizo sipendi
hili ni janga la taifa skuiziAfu ata sio sana hivi nimetoka sehemu sijisikii kulala
Ngoja nishuke tu club nikapate labda chui mweusiBasi find something of your interest and do it, Ipo siku moja niliamka nikafua usiku huwezi amini kisa kukosa usingizi