Tutamrithi mama watotoDaaah Vitaa imeanzaa tena nipo Gaza...guyz pray for me
Shem njoo nikuimbie uisikie sauti ya Burna boy live 🫠🫠🫠muambie mama nanii akupe nanii usingizi utakuja tu
nije kwa wapi huko😂Shem njoo nikuimbie uisikie sauti ya Burna boy live 🫠🫠🫠
Leo nimelewa nimekuwa dada ake sele 😂😂nije kwa wapi huko😂
mtoto una mitego wewe
njoo wewe uniimbie nyimbo yeyote ya zuchu😂Leo nimelewa nimekuwa dada ake sele 😂😂
Sema wewe nikuimbie nyimbo ipi?
Wahi kabla bro ako hajanipokonya simu ooh!!
Huyo nammudu sauti zinafanana 🤣🤣🤣njoo wewe uniimbie nyimbo yeyote ya zuchu😂
Tulia niko studio kwa zombie soon naachia ngoma 🤣🤣🤣endelea kususa,
nalala zangu😂
ni mvinyo gani unakupelekesha hivyo😂Tulia niko studio kwa zombie soon naachia ngoma 🤣🤣🤣
Tulia we 🫠ni mvinyo gani unakupelekesha hivyo😂
chap kwa haraka😂Mshamba upo niweke song la zuchu 🤣🤣🤣