Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,801
- 113,362
Pm sio sehem salama sipatak tena 😅vipi pm ulifunguliwa?
Pm sio sehem salama sipatak tena 😅vipi pm ulifunguliwa?
Wala, Niko sawa kabisaMbona kinyonge sasa😂
Ok wanakuja, uko poa lakini?Wala, Niko sawa kabisa
Niko poa kiasi, tumbo linanisumbua kidogo.Ok wanakuja, uko poa lakini?
ndo maana nakuambia akili za wanaume achana nazo🤣Usikute uliona blouse, ukasema nyonyo
Pole sanando maana nakuambia akili za wanaume achana nazo🤣
pambania mzee baba, umemuelewa mtoto yulePm sio sehem salama sipatak tena 😅
Pole sana mamy, umetumia dawa au n yale matumbo yenu?Niko poa kiasi, tumbo linanisumbua kidogo.
Asante, la kawaida tuPole sana mamy, umetumia dawa au n yale matumbo yenu?
hili ni pepo kabisa ninalo😂Pole sana
😂 kausha baki na Ms eyes wako, humu namuelewa mmoja tu na hajulikanipambania mzee baba, umemuelewa mtoto yule
Ugua pole mama mshamba_hachekwiAsante, la kawaida tu
mbona unajitetea sana mzee🤣😂 kausha baki na Ms eyes wako, humu namuelewa mmoja tu na hajulikani
Huyo wa Fifi motoUgua pole mama mshamba_hachekwi
aende hospitali, hizi pole hazisaidiiUgua pole mama mshamba_hachekwi
Sijasema ni wako nimemtaja tu bahati mbayaHuyo wa Fifi moto
fifi anapenda za wababaHuyo wa Fifi moto
Mimi na sindano ni hivi🖖aende hospitali, hizi pole hazisaidii
Mtumie nauri na hera si unapenda macho yake 😂aende hospitali, hizi pole hazisaidii