Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,980
Sitaki kesi aisee😂Sijasema ni wako nimemtaja tu bahati mbaya
Sitaki kesi aisee😂Sijasema ni wako nimemtaja tu bahati mbaya
kitaalamu n Difensi mekanizimu 😂mbona unajitetea sana mzee🤣
😂 hera siijuinauri na hera
Unamuogopa fifi de faya atakuunguza 😂Sitaki kesi aisee😂
KabisaUnamuogopa fifi de faya atakuunguza 😂
Ndio hera au maokoto 😂😂 hera siijui
bora hivyo kuliko kuzidiwa mambo yatakua mengiMimi na sindano ni hivi🖖
Nini mama?Mbona ghafla😢?
Ngoja nilale mimi, nilinde macho yangu😂Ndio hera au maokoto 😂
Acha uoga 😂Kabisa
mpaka nimuoe kwanzaMtumie nauri na hera si unapenda macho yake 😂
Hili litapona tu😂.bora hivyo kuliko kuzidiwa mambo yatakua mengi
Yalinde kama ulindavyo mboni ya jicho lako 😂Ngoja nilale mimi, nilinde macho yangu😂
Nayeye anasema haolewi bila muamala kusoma 😂mpaka nimuoe kwanza
Yananiuma, so I’ve to take care of them. Yakiharibika sina issue tena 😂Yalinde kama ulindavyo mboni ya jicho lako 😂
Yanaumaje na uzuri huo, au yakiwa mazuri sana yanauma?😅Yananiuma, so I’ve to take care of them. Yakiharibika sina issue tena 😂
hayuko hivyo bana, acha kunitishaNayeye anasema haolewi bila muamala kusoma 😂
Nasema uongo malkia wa macho Ms eyes ?hayuko hivyo bana, acha kunitisha
Yananiumaga tu since nikiwa mdogo sana.Yanaumaje na uzuri huo, au yakiwa mazuri sana yanauma?😅