nitulie mpaka lini, upweke utaniuaMmh kwa age yako tulia tu kwanza na hiyo nyeto, vibinti vitakuvuruga akili hasira zako utukane hadi sisi mishangazi
Upweke au upwilu/ru? 🤣nitulie mpaka lini, upweke utaniua
upwiru ukikaa muda mrefu unaitwa upweke🤣Upweke au upwilu/ru? 🤣
Jua kali kinoma ngoja nifue blanket kabisa sitaki mambo mengi03:13 kazi iendelee.
Duuuh! bilashaka wewe utakua rafiki wa Mshana jr.jua kali saa hizi...😁😁?Jua kali kinoma ngoja nifue blanket kabisa sitaki mambo mengi
Karibu pia ulabu mjomba😅Karibuni bia jamani....ukiona bado unachagua siku za kunywa endelea kutafuta hela 😁
02:12
Tuendelee tuendelee mjomba, nipo vizuriKaribu pia ulabu mjomba😅
Uko vizuri kweli mjomba?Tuendelee tuendelee mjomba, nipo vizuri
Cha pili ?Tuendelee tuendelee mjomba, nipo vizuri
Bado jua kaliHatimae lindo limeisha tuondoke zetu tukalale 04:41
Usikariri, mwizi anaiba na kuvamia muda wowote, maliza muda wa lindoHatimae lindo limeisha tuondoke zetu tukalale 04:41
HahahahahaNamnyatia mpangaji ,nile cha asubuhi
Mkubwa uli sinzia🤣😂Usikariri, mwizi anaiba na kuvamia muda wowote, maliza muda wa lindo