moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,446
- 776,258
04:09
Mkuu vipi, naona unahesabu muda tu.05:07
Lindo gumu leo?
04:09
Mkuu vipi, naona unahesabu muda tu.05:07
Hahaha msubirie aolewe kisha umle kimasiara[emoji22][emoji22] imagine mpaka saivi sijalala namuwaza demu wangu wa utotoni ambaye anataka kuolewa na jamaa mwengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi wanawake mlio olewa mnaringia kitu gani?
Usiku wa manane mkiombwa utelezi mnaleta sababu zisizo na miguu. Tukiwa na michepuko mnakasirika. Hivi mnataka nini? Upwiru utumalize? Mnategemea tukamalizie nyege wapi?
Nyumba ndogo asanteni kwa huduma yenu yakuridhisha.