JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

😅😅😅uje kijiji likizo nikupe kadawa, unamfata manzi huku unakatafuna.. una mlala siku hiyo hiyo.. kumpa hela hadi upende mwenyewe.. .. nyie vijana msibeze mambo ya kale
CHAI TENA
3.jpg
 
😅😅😅sie wenzako tumekula sana ma manzi kwa hiyo mbinu endelea kubisha tuu.. alafu ka mzizi tu.. ukiongea nae unaona anacheka cheka.. shika mkono.. peleka guest.. sema unaweza jikuta unakuwa mgongaji pro max . .. maana chochote kila utakila tu.. hela yako ni kulipia chumba na kama utakuwa na huruma una mpa hela ya P2
 
wewe si msomi?

kasome 'placebo effect' ndo inasababishwa na huo mzizi😂
 
😅😅😅sie wenzako tumekula sana ma manzi kwa hiyo mbinu endelea kubisha tuu.. alafu ka mzizi tu.. ukiongea nae unaona anacheka cheka.. shika mkono.. peleka guest.. sema unaweza jikuta unakuwa mgongaji pro max . .. maana chochote kila utakila tu.. hela yako ni kulipia chumba na kama utakuwa na huruma una mpa hela ya P2
Kwanzia leo siongei na mwanaume 🙄🙄🙄kumbe mambo yenyewe ndyo haya...I hope huu uchawi haupiti kwenye keyboard
 
Back
Top Bottom