Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Nilikua nasikia usingizi ila sasa umekata
Kwanni tena[emoji56]
Nilikua nasikia usingizi ila sasa umekata
Mkuu uko lindo? Ziba masikio niongee na winwachumba ngumu kupata😅
Nimekukuta wewe kwenye stageKwanni tena[emoji56]
Mkuu uko lindo? Ziba masikio niongee na win
bila hela ni ngumu😅Haujaamua tu kuwapat ila wapo wengi mno
shusha mistari mkuuMkuu uko lindo? Ziba masikio niongee na win
Nimekukuta wewe kwenye stage
bila hela ni ngumu[emoji28]
Nataka nipitie mistari ya kwenye uzi wa kumtongoza Faizafoxy, af nirudi hapashusha mistari mkuu
Dar wazuri wengi ila sasa ...Labda wa huko kwenu daslam[emoji3]
Dar wazuri wengi ila sasa ...
mnaongea tu ila tunawajua vizuriLabda wa huko kwenu daslam[emoji3]
Karibu ingia tu usivue viatuHodi[emoji55]
mnaongea tu ila tunawajua vizuri
Karibu ingia tu usivue viatu
Huku ni lindo haturuhusu viti mana mtaanza kusinziaAsant, nimeshakaribia ila sion viti vya wageni[emoji18]
wananiomba hela nikiwaambia waniletee nanilii wanakataaQwanz wew si upo nyumbn saiv, nitakushangaa ukitoka huko bila pisi
Huku ni lindo haturuhusu viti mana mtaanza kusinzia
Huku ni mwendo wakuzunguka huko na huko kulinda mali za ofisi
wananiomba hela nikiwaambia waniletee nanilii wanakataa
Hela sio tatizo sana, sema totoz zenyewe zimevurugwa na maishaNdo kinacho mkuta ndugu yet hukoo, hana pesa alf anataka totozi