mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
hela haiokotwi, bora nijisitiri kwenye nyetoTatizo we ni bahili ndo maan wanakufanyia hivyo, afu umeshakua ujue tunataka mtoto[emoji1787][emoji1787]
hela haiokotwi, bora nijisitiri kwenye nyetoTatizo we ni bahili ndo maan wanakufanyia hivyo, afu umeshakua ujue tunataka mtoto[emoji1787][emoji1787]
Hela sio tatizo sana, sema totoz zenyewe zimevurugwa na maisha
Unampango wa kunipiku ndugu yangu?Huku ni lindo haturuhusu viti mana mtaanza kusinzia
Huku ni mwendo wakuzunguka huko na huko kulinda mali za ofisi
Wanasema " you can't teach an old dog a new tacticsNdo unatakiwa ubadilishe mind set zao
hela haiokotwi, bora nijisitiri kwenye nyeto
Wanasema " you can't teach an old dog a new tactics
" mshamba_hachekwi" na " winnone" nawaachia jukwaa, mpaka kesho mtupe tar ya harusi
unatufundisha uogaTatiz lako wew na mshamba_hachekwi mnataka ma celeb... badal ya kutafut wif material, zile ni mali za wakubwa
unatufundisha uoga
sina hela mimi ntakuchosha bureApan nakwambia uqweli tu apo, alf umeuona ujumbe wa mshenga hapo juu[emoji1787][emoji1787]
Anayepitiliza huku kishakubali magezo na masharti hivyo vumilia huku ni kusimama tuAaaah, mgen akifik siku ya qwanza na ya pili anatakiwa apumzike alf siku ya 3 ndo unampangia lindo
sina hela mimi ntakuchosha bure
kiba100Una nini[emoji3]
Endelea tu me nilikuwa namkaribisha mgeni tuUnampango wa kunipiku ndugu yangu?
Anayepitiliza huku kishakubali magezo na masharti hivyo vumilia huku ni kusimama tu
kiba100
Huku patamu bhanaa we utazoea na utapapenda kila sekunde itakayopitaNikitoka huku sirudi tena[emoji3] aya ni manyanyaso
Huku patamu bhanaa we utazoea na utapapenda kila sekunde itakayopita
duh, sijui niseme nini😅Tutakua tunakichemsha alf tunakunywa supu, worry out[emoji3]