Tobaaa kumekucha (in King Majuto's voice)🤣🤣🤣🤪🤪 Kwani uongo. Hata sura yako nahisi itakuwa nzuri sana mamy k.
Siku ukiachwa unitafute najua kubembeleza mwanamke mpaka aone dunia ni yake sawa mamy k 😁😘.
I love you internet stranger 😊😀
Majiraniii amkeniii....napendwa huku Jf🤣🤣🤣
Ila Una uhakika unanilove kweli au akili za usiku tu🤣🤣🤣