kataa ndoa,Hivi kataa ndoa mnaishije? Hapa Baba K kasafiri yani usingiz hauji, angekuwepo hapa tungekuwa tunapiga umbea kuwateta majirani, afu tunapeana....tunalala🤣🤣🤣🤣
Anyway....3.07
Poleni sana yani.....Karibuni Chamani, Hapa nipo naogopa, nawasha na kuzima taa za nje🤣🤣🤣 Wakati Baba K wangu akiwepo nalala Kama furushi.kataa ndoa,
tunza kibunda chako!!
Usingiz ulivyo nyok* utajikuta unasinzia saa kumi kamili🤣🤣🤣 Don't sleep, wake up🤣🤣🤣Nna KAZI ya saa kumi na dk 20 naona nikilala TU basi ntaamka saa 12 asubuh Sina namna inabd nikeshe tu
Mamy k mambo babe 😆😝Usingiz ulivyo nyok* utajikuta unasinzia saa kumi kamili🤣🤣🤣 Don't sleep, wake up🤣🤣🤣
Ni pouwah...nambieMamy k mambo babe 😆😝
Mbona hulali babe keaho utasinzia kazini my wangu 😙Ni pouwah...nambie
hakuna kulalaHaya laleni
Dogo vipi naona kigogo naye anagawa vocha huko fb kama ww. Au ndo ww nn?hakuna kulala
ulinzi uimarishwe
mimi ni mjep chiefDogo vipi naona kigogo naye anagawa vocha huko fb kama ww. Au ndo ww nn?
Usingizi umekata boss, Sijameza vidonge vya usingizi Leo🤦Mbona hulali babe keaho utasinzia kazini my wangu 😙
mimi ni mjep chief
za kwangu nilikua nikitupia selfika tu na si kwingineko
huyo atakua mwingine naye anasambaza upendo kwa namna yake
Unameza vidonge vya usingizi?Usingizi umekata boss, Sijameza vidonge vya usingizi Leo🤦
huoni hata mwandiko haufananiOk nilitaka nishangae na hii tabia kaianza baada ya uzi wa selfika kufungwa. 🤣 Sijui kwann.
Zamani alikuwa anaponda serikali sana saivi ratiba kila saa 18:00 anagawa vocha
View attachment 2748526
shikamoo boss0345