National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
03:11
ndio umevaa shati jeusi ?Nainua mkono mamaaa, kitambaa cheupeeeee
Hahahaha,nimevaa jezi tundio umevaa shati jeusi ?
Kuna mzigo unaniweka hapa,dah04:13
Wewe una matatizo makubwa sana. Mbona kila kitu ni wewe tu?🥴🥴🥴.. kuogopa nini .. siki dogo na jamaa walita kuoana, dogo akaniomba ushauri nikamuambia kama mmependana oaneni.. dogo badae akaniambia jamaa ana watoto watatu na mtoto wa mwisho ana miezi miwili .. akaona jamaa kama ana tatizo la akili.. akaniomba ushauri tena nikamuambia apime.. badae wakatibuana nini.. kuna ijinga mwingi ambao wana nihusisha na sikuwapo
ndio naamkaKuna mzigo unaniweka hapa,dah
acha shobo, njoo na ID yako ya zamani.. Unafikiri imepita kila kitu kitapatiwa majibuWewe una matatizo makubwa sana. Mbona kila kitu ni wewe tu?
Kaa utulie. Shida ni nini?
We nawe una taka kujikuta legend wa kujua lipi zuri na baya au sio🤒🤔Wewe una matatizo makubwa sana. Mbona kila kitu ni wewe tu?
Kaa utulie. Shida ni nini?
Yaani uache kulala kisa hela 😁😂😂, mshitue shemeji muwe Mana kiwasha😁😂😂Nawaza maisha tuu, maisha magumu mpaka ukiyafikiria usingizi unakata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwa hela ipi🤣mshamba_hachekwi upo mbeya pazuri muda huu?
Sasa pochi ikiwa haina maokoto huo usingizi unakujaje labda?? Kuna juda mpaka shemeji unamuona kama big bro wako vile unafikiria maisha[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani uache kulala kisa hela [emoji16][emoji23][emoji23], mshitue shemeji muwe Mana kiwasha[emoji16][emoji23][emoji23]