National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
😅😅 hapafai tena humuu.. unawekewa hata sumuSasa kama si kweli fanya kweli.
😅😅 hapafai tena humuu.. unawekewa hata sumuSasa kama si kweli fanya kweli.
Ndo ile Ina wekewa na ice ,🤒jamii check ni katiba ya warioba ambayo inafanyiwa kazi mwaka 2025 ipitishwe.🙂
Mzee neshino wewe sio poa..😅😅 hapafai tena humuu.. unawekewa hata sumu
😅😅😅 vipi tena mtaalamu nimefanyajeMzee neshino wewe sio poa..
Hio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. 🙂Ndo ile Ina wekewa na ice ,🤒
😅😅😅 hiyo tume naomba niwe mwenyekitiHio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. 🙂
Kaka unapeleka rungu komredi kipepe anaenda tuishieni.😅😅😅 vipi tena mtaalamu nimefanyaje
Ndo ile ili wahi taka kupika njugu kwa mwenge🤒Hio inayowekewa na ice ni tume ya kuchunguza kama kweli neshino alimla Tinsilii.. 🙂
😅😅😅... bana wee mie humu naonekana kiwembe.. wakati joka la kibisa.. nishapewa kesi na mtu tulimpiga mtu mande .. mengi mtasikia tuKaka unapeleka rungu komredi kipepe anaenda tuishieni.
🤣🤣🤣 kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...Ndo ile ili wahi taka kupika njugu kwa mwenge🤒
🤣🤣🤣 kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...
Hawa ndio wameamua kunichania mkeka.. kuna manzi humu nilisema nianzw fukuzia.. sasa washatibua tenaaa 😅😅😅🤣🤣🤣 kwa kweli kwenye mitongozo namvulia kofia neshino.. haitaji tume kupika njugu kwa mwenge na zikaiva...