Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,401
- 31,651
Vp lakini wapo wa bure au ndo walewale wa nitumie nauli kwanzaKule anytime!...wapo mpka mlangoni wewe tu.

Vp lakini wapo wa bure au ndo walewale wa nitumie nauli kwanzaKule anytime!...wapo mpka mlangoni wewe tu.

Hao wapo kibao mkuu,kwenye msafara wa mamba kenge lazima.Vp lakini wapo wa bure au ndo walewale wa nitumie nauli kwanza![]()
![]()
![]()
Mi bado nipo hapa kama unaweza kuja njooAsante sana,wacha nianze kujiandaa saa hizi nisije nikachelewa huu muadi
Akikuacha unishtue nizibe pengo.Ndo
hivyo
Nipo mkuu bado natafakari jinsi kesho nitakavyofaidi nyama choma na balimiThad..?!! Umekimbia.?

Hey![]()
![]()
ulijua mi mwanaume?
![]()
![]()
![]()
tunapishana mpaka kulia nyie hamlii ki rahisi inaonekana muda mwingi hua mnacheka ila huku kitu kidogo tu wahisi kuchanganyikiwaMi sitoi machozi hata ya mamba ni rahisi kuyaona, ni bahati mbaya tu we siyo wa pande hizi kwa hiyo huwezi elewa. Siku ukija utagundua kuwa tunapishana siyo masaa pekee yake, lakini hadi siku.
Hapana mkuu,ngoja kukuche ili nipake make up kwanza,keshokutwa usije nifungulia uzi hapa kwamba umekutana na ndiye siye....Mi bado nipo hapa kama unaweza kuja njoo

Wacha nami nitembelee huko yamkini nikapata wa kunitumia nauli nipunguze huu ukali wa maishaHao wapo kibao mkuu,kwenye msafara wa mamba kenge lazima.

Mtafute alibakari ndiyo mkongwe wa hukoWacha nami nitembelee huko yamkini nikapata wa kunitumia nauli nipunguze huu ukali wa maisha![]()
![]()
![]()
Usinichkulie wa hivyo mimi. Sina mambo yakishamba kama hayo unayodhani plsHapana mkuu,ngoja kukuche ili nipake make up kwanza,keshokutwa usije nifungulia uzi hapa kwamba umekutana na ndiye siye....![]()
![]()
Come on! Sasa naanza kuelewa. Ndo maana wakati huu ambao kwetu ni J4 ya next week wewe ume hack mawasiliano yetu. Ndo maana wakati kwako ni saa sita mchana umeamua kuvuruga usiku wetu wa manane. Nadhani pia Rais wenu atakuwa Robert Gabriel Mugabe na atakuwa a little over 40 years of age!tunapishana mpaka kulia nyie hamlii ki rahisi inaonekana muda mwingi hua mnacheka ila huku kitu kidogo tu wahisi kuchanganyikiwa
Mmmh! Huko sitaki mwenyeji,asije kuja kunianika hapa bure,nikakosa mwana na maji ya motoMtafute alibakari ndiyo mkongwe wa huko
Hongera kwa kuwa gentleman...Usinichkulie wa hivyo mimi. Sina mambo yakishamba kama hayo unayodhani pls
